Bobi Wine : ”Nia yangu sio kumng’oa Yoweri Museveni madarakani tunataka uhuru Uganda”

By

Mwanamuziki mashuhuri wa Uganda, Robert Kyagulanyi kwa jina Maarufu Bobi Wine ambaye pia ni Mbunge amekuwa akielezea kupitia mitandao ya kijamii masaibu na mateso anayodai aliyopitia alipokamatwa na kuzuiliwa katika kambi ya kijeshi mwezi uliopita. Lakini sasa Bobi Wine amefanya mahojiano ya kipekee na Idhaa BBC akiwa hospitalini Marekani na kuelezea yaliompata.
Katika mahojiano hayo na Zuhura Yunus mwanasiasa huyo wa Uganda, Bobi Wine pia anafafanua ajenda yake ya kisiasa.

Subscribe: https://www.youtube.com/watch?v=PPDlH …

Website: https://www.bbc.com/swahili/habari-45 …

Instagram: https://www.instagram.com/bbcswahili

Facebook: https://www.facebook.com/BBCnewsSwahili

Twitter: https://twitter.com/bbcswahiliLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *